Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Ben10 yupi, huyu mpya au wa zamani?Hata ile ishu ya shishi baby kumpiga ben10 wake?
Ben10 yupi, huyu mpya au wa zamani?Hata ile ishu ya shishi baby kumpiga ben10 wake?
Afadhali manyoka waoga wakimbie...HaaaaaaaaaView attachment 714960
Kule mchepuko kwakweli.Asante.
Kumbe kule mchepuko ndio maana unakuja kwa nadra sana, huku ndo nyumba yako kuu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ngoja na mimi, hapa pawe mchepuko wangu,kule ndio iwe nyumba kuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo mipengo ya mshangao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Demiss unanitisha bwana, mimi mgeni hapa [emoji12]
Mwambie aweke za mende [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyaaaaa!!
Hizi picha zinazingua mazee[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Namshukuru Mungu shem,mimi ni mzima wa afya tele.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji mrembo uliye umbika kisawa sawa mzima?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Afadhali manyoka waoga wakimbie...
Kweli kule kuna maadhi yake maana mchana kutwa huna pa kwenda mpaka geti lifunguliweKule mchepuko kwakweli.
Halafu si unajua kule ukichelewa geti linafungwa?
Huku mlango uko wazi mda wote.
Hiyo chapati mfukoni imenikumbusha yule maid wa victor volcano[emoji23][emoji23]
Hahahahaah wanyakyusa hawa hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hauchelewi kusema ni wanyakyusa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu kama nimeona umeniita buroo...eti?!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] usishangae herufi "Z" kuwa ya katikati kwenye mtiririko kwani mwanzo ni "A" na mwisho ni "ZZ". Gudi tu gooooo...