Hivi huu utafiti tunashirikishwa au mizungu inajipitia huko juu na mindege yao ina chungulia tu dirishani...
1.Hapo wapi?
2.Tanzania...
1.Tuwape nafasi ya ngapi?
2.Hata ya mwisho poa tu...
1.Wapunguzie kidogo basi...
2.Wawe wa nne kutoka chini ili wasishuke
daraja...View attachment 715944