Uongo nao kipajiBaadhi ya watu saivi wapo bize(offline),basi kesho asubuhi utasikia "jana usiku nilikuwa bize na shemeji yenu" kumbe alikuwa bize anatoa maji ya mvua yaliyoingia ndani. Uongo dhambi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaha mbavu zangu jamani uwiii
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sawa mkwele wa ulaya.
Salaam mkuuMkuu jambo
Uliumizwa mkuu?mapenzi kitu ovyo sana
Asante sana Shimba!
Poa poa mkuuSalaam mkuu