andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ninayo. Kanatia huruma utadhani kateja wamekaokota jalalani halafu kama kamejinyea vileee[emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji ungeiona hiyo picha ungekubali maneno yangu.
Ninayo. Kanatia huruma utadhani kateja wamekaokota jalalani halafu kama kamejinyea vileee[emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji ungeiona hiyo picha ungekubali maneno yangu.
Aisee!!!Aaah mbona mnaongelea enzi zangu kabisaaaaaaaaa
Hio dawa ya kuwasha inaitwa goodmorning
Mkojo wa punda ilikua inanikera bora zile za ladha ya mirinda nyeusi
Mmmh kuna mtu atanizingua tu hapa hahahaha
Waoga wengi ndio wanaongoza kwa kufeli duniani koteToa sababu
YegomasikaWaoga wengi ndio wanaongoza kwa kufeli duniani kote