Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana Shimba!
Hakika huu ni wakati wa Mwenye Enzi Mungu kutenda!
Amenibariki mimi na nchi yangu Tanzania!
Sis, umekula ban tena au ni utani tu wa avatar? Kama ni ban basi jizuie kwenda jukwaa la siasa. Au unakwenda unaondoka kimya kimya kama mimi. Au ukitukanwa na wafia ufisi na unyumbu basi unauchuna tu...Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…