Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Karibu. Na notes unapewa kabisa.Basi itabidi ikapigishwe hiyo tuition ya bure kabisa!
Karibu. Na notes unapewa kabisa.Basi itabidi ikapigishwe hiyo tuition ya bure kabisa!
Mkuu, hivi ni kweli uko home? Ulikimbia kipupwe ama? Niambie kama uko UK kweli na kama unategemea kurudi huku maporini...
Duh!Hata akijamba we inabidi ufokasi tu ili usiharibu mchoro...
Hahahhaha! Haya bwana.Basi siku nikileta dagaa wangu hapo Kariakoo nitakustua! Uongelemu subhati!
Karibu. Na notes unapewa kabisa.
Watendelaga?Mkuu, hivi ni kweli uko home? Ulikimbia kipupwe ama? Niambie kama uko UK kweli na kama unategemea kurudi huku maporini...
Karibu sana.Asante sana! Siku nikija hapo kwa Bashite nitakutafuta!
The Giants of Astrophysics....
View attachment 717195
Pole! Nilikutaka nikuaguzie dawa moja inaitwa "Umusholezi" uniletee.Ni changamsha baraza tu! Bado natwangwa na kipupwe huku!
Boss Boss kumradhi notification hahikufika mapema. Niaje lakiniKichwa Kichafu nnakuona mstarini, au haupo bure(free)?
Ukianza kuwatafuta laivu hutawasikia. Wabongo wajanja sana. Ukifika tu kila mtu yuko bize hata wale ambao walishakuja kwako ukaenda out of your way kuwahudumia. Ni tabia ya kushangaza sana....!!!Asante sana! Siku nikija hapo kwa Bashite nitakutafuta!
Endeleeni kupambana makamanda...
Kweli mkuu. Bahati nzuri sana ule ugonjwa haushambulii ubongo. Keshatimiza ngwe yake !!!Huyu Stephen Hawking ndio alikuwa Albert Einstein wa kizazi chetu!
Hahahaa!Ukianza kuwatafuta laivu hutawasikia. Wabongo wajanja sana. Ukifika tu kila mtu yuko bize hata wale ambao walishakuja kwako ukaenda out of your way kuwahudumia. Ni tabia ya kushangaza sana....!!!