Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana! Siku nikija hapo kwa Bashite nitakutafuta!
Ukianza kuwatafuta laivu hutawasikia. Wabongo wajanja sana. Ukifika tu kila mtu yuko bize hata wale ambao walishakuja kwako ukaenda out of your way kuwahudumia. Ni tabia ya kushangaza sana....!!!

Ukiona mbongo ambaye siyo ndugu wa damu anaacha shughuli zake na kuja kuhangaika nawe; na hata kukualika nyumbani kwake basi huyo ni mtu mwema sana otherwise mtapanga vizuri tu siku ukifika basi utapata excuse za kufa mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…