Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 717696"kupigana sio suluhisho la mgogoro kwenye mahusiano "
Mchina hapo zamani kidogo aliwahi kusema eti huyu ni KK na pimbi wake. Unakaona lakini kapimbi ka KK kalivyo kazuri karembo nachuro katanashati kakimbaumbau dizaini poa ajabu? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msaada wa ndugu??
Labda kama una moyo huo wewe wa kusaidia,Mungu aendelee kukubariki sana.
Kuna aina nyingi za ndugu,ndugu ninaowasema nina uhakika wa 99% nao sio wengi kivile may b saba wakinidondosha wanadondoka na wao pia bila hata kurevenge. Ni kama kuumiza mguu ukitegemea mikono haitaumia kumbe mwili mzima utaumia.
 
Hapo nimekuelewa.
Maana kuna ndugu wengine kupokea ni faida ila kutoa sio msaada bali ni hasara kwao.
Habari ya majukumu ankoo[emoji120] [emoji120]
 
Hapo nimekuelewa.
Maana kuna ndugu wengine kupokea ni faida ila kutoa sio msaada bali ni hasara kwao.
Habari ya majukumu ankoo[emoji120] [emoji120]
Hao wapo kila kona,tena hao ukiwapa kitu lazima usemwe vibaya,kuna wale ukiwasaidia tu matangazo na kuita wenzao uwasaidie.

Salama kabisa,weekend ipo shwari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…