Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445212829_232420.jpg
 
Kifo ni nini? (1) Ni moyo unapoacha kupiga au ni (2) Ubongo unapokoma kufanya mawasiliano na sehemu zingine za mwili? Kama jibu ni namba 2, basi ni kweli kwa sababu ubongo huwa hauzimiki mara moja bali huzimika hatua kwa hatua. Wanasayansi wanasema hili huchukua mpaka sekunde 30 mtu keshakufa lakini baadhi ya sehemu za ubongo bado zinajikoki zikishangaa kuona hali ilivyobadilika. CT scans za ubongo wa mtu ana/li-yekufa punde zinaonyesha activity sehemu mbalimbali zikiendelea. Na cha kufurahisha zaidi kunakuwa na utolewaji mwingi wa dopamine - kemikali iletayo raha kwa watu wenye addiction au wanaume/wanawake wanapofikia mshindo. Ndiyo maana si ajabu kama mtu anayekufa hana maumivu, wengine utakuta anakufa lakini anaonyesha kuwa na furaha na hata kutabasamu...last huge dose of dopamine!

===> Samahani bebi kwa kuingilia post yako. Leo nimeamka kivingine - alive, very happy and extremely blessed. Tumshukuru Mungu rafiki [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwa maana hiyo,siku hiyo inaweza kutokea kutema "wazungu" wa mwisho mwisho?!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] acha nikampange my wife wangu aje kuwa makini na saksafoni yangu siku narudisha namba,sitaki "wazungu" waje wapotee bure...

"INJOY THE MEAT,FORGET THE ANIMAL"
 
Back
Top Bottom