Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani ni traumatizing mnooo.View attachment 717698"ugomvi mbele ya watoto ni kumbukumbu mbaya sana kwenye maisha yao"
Si kupigana tu,bali jazba/hasira si suruhisho la tatizo lolote.View attachment 717700"kupigana ni hatari na sio suluhisho ya matatizo"
Katika vitu amabvyo sijawahi kuelewa ni hiki cha mwanaume kumpiga/kupigana na mwanamke.View attachment 717701"Kwa wanaume wote mnao endelea kunyosha mkono kumpiga mwanamke, hii ndio itakuwa adhabu ya kwanza siku ya kuhojiwa mbele ya Mwenyezi Mungu" shuuainii zenu[emoji57] [emoji57]
Hata kama bwana, si wawe wanapotezea tu kishkaji..Katika vitu amabvyo sijawahi kuelewa ni hiki cha mwanaume kumpiga/kupigana na mwanamke.
Unapigana vipi na kiumbe ambacho tayari ulishaambiwa na kidhaifu?
Yaani unaanzaje kwa mfano??
Mwanamke hapigwi bhana...
Sema na sisi wanawake tunamidomo na maneno yenye kuudhi[emoji23][emoji23]basi tu...
Hasira mama hasira zikishashika kasi hapo na shetani kasimama pembeni hakuna cha kupotezea.Hata kama bwana, si wawe wanapotezea tu kishkaji..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katika vitu amabvyo sijawahi kuelewa ni hiki cha mwanaume kumpiga/kupigana na mwanamke.
Unapigana vipi na kiumbe ambacho tayari ulishaambiwa na kidhaifu?
Yaani unaanzaje kwa mfano??
Mwanamke hapigwi bhana...
Sema na sisi wanawake tunamidomo na maneno yenye kuudhi[emoji23][emoji23]basi tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukioa mwembamba ni wa mwendo wa kuongea utadhani cherehani ya umeme...
Ukioa mnene akikutwanga na maneno mawili matatu utajuta kwanini uliingia kwenye ndoa...
POMBE RAHA SANA...
HAINA MASIMANGO...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata kama bwana, si wawe wanapotezea tu kishkaji..