andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hasa vimaneno vya kuchomekea ili umuumize mwenzio...Hasira mama hasira zikishashika kasi hapo na shetani kasimama pembeni hakuna cha kupotezea.
Halafu kuna wanawake wanamaneno ya choo acha kabisa.
Lakini kupigana si suruhisho,na sisi tuache maneno maneno.