Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha! Utasikia kati ya wanaume nawe mwanaume?? Kama shamba limekushinda waachie wenye makali waparaze.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hapo lazima ule vichwa visivyo na idadi.
 
Hahaha! Utasikia kati ya wanaume nawe mwanaume?? Kama shamba limekushinda waachie wenye makali waparaze.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hapo lazima ule vichwa visivyo na idadi.
Na hakuna kauli mbaya inayo anzisha vita kama hiyo ya "kati ya wanaume nawe ni mwanaume?"
Hapo hata pombe hainyweki kabisaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…