myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salama..kwako kwemaJirani habari
Kumbea juu na chini....
Juu juu na chini chini
Burudani za usiku
Jirani unazungumzia kubembea ama "kumbembea" [emoji23][emoji23]Kuliwaza na kubembea..
Alhamdilillah,huku kheri kabisa.Salama..kwako kwema
Pamoja[emoji120] [emoji120]Amin shem[emoji120][emoji120][emoji120]
Asante pia.
Nitajitahidi sana,kuna ka kazi hapa nikikamaliza tu nitakuwa free,nitakujulisha.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] wewe na jirani yako mwajuana ati...Jirani unazungumzia kubembea ama "kumbembea" [emoji23][emoji23]
Nimeshindwa kuelewa
Shemeji jamani[emoji134][emoji134][emoji124] [emoji124] [emoji124] wewe na jirani yako mwajuana ati...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji jamani[emoji134][emoji134]
Imebidi niulize maana jirani ana misemo[emoji23][emoji23]
Misemo yake yote fikirishi[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na misemo yake yote ni tata
Busara hizo dah !!!Si kupigana tu,bali jazba/hasira si suruhisho la tatizo lolote.
Siku zote hakuna jambo linalotatulika pale mnapokuwa na hasira.
...asilimia sita ya wanaume wa Dar hupigwa na wake zao....Sema na sisi wanawake tunamidomo na maneno yenye kuudhi[emoji23][emoji23]basi tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Konokono...source of all evils [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila kuna muda mnastahili...
Unaombwa "mtoe konokono atambae kwenye parachichi",bila sababu ya msingi unamkatalia... Mara " ooo jua limewaka sana leo konokono amekauka hawezi kuteleza labda asubuhi unikumbushe"...
Asubuhi una amshwa,bado visababu vinaendelea "jamani beibiiii umechelewa kuniamsha,nitamtoa baadae..."
Weeeeee....
Wanaume wa mikoani ni asilimia ngapi vile,naomba unikumbushe[emoji38][emoji38][emoji38]...asilimia sita ya wanaume wa Dar hupigwa na wake zao....
Bali wapenzi ndiyo wabaya...Mapenzi sio mabaya
Mh!Shemeji jamani[emoji134][emoji134]
Imebidi niulize maana jirani ana misemo[emoji23][emoji23]