Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui nipoje uwaga sinaga time na X kabisa
Yaani yakiisha yameisha
Mimi pia bro...

Wako wengi sana katika dunia hii. Mi hata konokono yake huwa sitakagi tena...Been there done that....[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Naona mwafarijiana
Ni kweli. Kama bado unamfuatilia ex wako ina maana bado u mtumwa wa pendo lake. Bado amekufuma na usipojinasua hata thamani ya upendo wako kwa utakayempata baada yake haitakuwa na thamani...It is a matter of principle. If you let somebody go out of your life, let them go! Ukiendelea kuwashikilia nusunusu unajitafutia matatizo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…