Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] (samahani carba) ukioa jamii hii kama sio mvumilivu jitengenezee na kajeneza kabisa,maana hata ukitaka muachane ni wabishi hao kuliko nsamaka,labda uikimbie nyumba....
Vimbaumbau ni tatizo kwa kweli. Kulikuwa na kamoja hapo mtaa wa Wailesi Temeke kameolewa na mjeda kalikuwa kakilianzisha mjeda mwenyewe anaufyata mtaa mzima shangwe tupu. Halafu mjeda pande la Kiha basi watu wakawa wanasema mbona asikadunde siku moja ili kukafumba mdomo? Kuja kufuatilia kumbe mjeda alikuwa anaogopa kufukuzwa kazi kama ingetokea kakazuka kambini na ngeu. Mwishowe alichoka ikabidi akalime talaka na kuomba uhamisho kabisa kwenda Morogoro. Ilikuwa burudani sana kwa kweli hasa kwa wapenda ubuyu [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Ni kweli. Kama bado unamfuatilia ex wako ina maana bado u mtumwa wa pendo lake. Bado amekufuma na usipojinasua hata thamani ya upendo wako kwa utakayempata baada yake haitakuwa na thamani...It is a matter of principle. If you let somebody go out of your life, let them go! Ukiendelea kuwashikilia nusunusu unajitafutia matatizo !!!
Yap Kama mbwai mbwai tu sio mguu nje mguu ndani
 
Mimi pia bro...

Wako wengi sana katika dunia hii. Mi hata konokono yake huwa sitakagi tena...Been there done that....[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Big up bro Real Man ndo anatakiwa kuwa Kama tulivyo
 
Back
Top Bottom