Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] (samahani carba) ukioa jamii hii kama sio mvumilivu jitengenezee na kajeneza kabisa,maana hata ukitaka muachane ni wabishi hao kuliko nsamaka,labda uikimbie nyumba....
Vimbaumbau ni tatizo kwa kweli. Kulikuwa na kamoja hapo mtaa wa Wailesi Temeke kameolewa na mjeda kalikuwa kakilianzisha mjeda mwenyewe anaufyata mtaa mzima shangwe tupu. Halafu mjeda pande la Kiha basi watu wakawa wanasema mbona asikadunde siku moja ili kukafumba mdomo? Kuja kufuatilia kumbe mjeda alikuwa anaogopa kufukuzwa kazi kama ingetokea kakazuka kambini na ngeu. Mwishowe alichoka ikabidi akalime talaka na kuomba uhamisho kabisa kwenda Morogoro. Ilikuwa burudani sana kwa kweli hasa kwa wapenda ubuyu [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Yap Kama mbwai mbwai tu sio mguu nje mguu ndani
 
Big up bro Real Man ndo anatakiwa kuwa Kama tulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…