Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si India tu, imekuwa ni jambo la kawaida kwa Watanzania, wakiwamo wasanii na wanasiasa kujipiga picha na kuziweka katika mitandao ya kijamii.
 
Hatua za maradhi ya selfitis

Matokeo ya utafiti huo yalichapishwa kwenye jarida la kimataifa la Afya ya Akili na limethibitisha kwamba kuna hatua za ugonjwa huo wa selfitis.
 
Je, unapenda kujipiga picha mnato au selfie mara kwa mara? Watafiti wa Chuo Kikuu cha Nottingham Trent, Uingereza na kile cha Thiagarajar cha India wamebaini kwamba kama unapiga picha zaidi ya tatu kwa siku na kuziweka katika mitandao ya kijamii, basi una dalili za ugonjwa wa akili.
Hapa watakuwa wengi
 
Kwa mujibu wa utafiti huo, hatua ya tatu ni wale wanaojipiga picha kila saa na wanaweza kuweka picha zaidi ya sita kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.
 
Ugonjwa huo ukifikia hatua ya tatu, basi mtu huyo huweza kupiga picha na kuzituma mitandaoni na zisipopendwa au ‘kupata likes’ mtu huathirika kisaikolojia hata kufikia kujiua. Au akikejeliwa basi huathirikia.
 
Sababu nyingine ni kujiunganisha na mazingira yanayowazunguka(kuweka kumbukumbu za matukio), kujiweka karibu na jamii zinazowazunguka na kutaka kushindana na watu wengine katika jamii zao.
 
Ugonjwa huo ukifikia hatua ya tatu, basi mtu huyo huweza kupiga picha na kuzituma mitandaoni na zisipopendwa au ‘kupata likes’ mtu huathirika kisaikolojia hata kufikia kujiua. Au akikejeliwa basi huathirikia.
 
Profesa wa Masuala ya Uraibu na Tabia kutoka Chuo Kikuu cha Nottingham Trent, Idara ya Saikolojia, Mark Griffiths anasema, “Miaka michache iliyopita taarifa kwenye vyombo vya habari zilidai kwamba selfitis ni tatizo la akili. Baadaye taarifa hizo zilielezwa kwamba ni za uongo, lakini haikumaanisha kwamba hali ya selfitis haikuwepo, sasa tunathibitisha uwepo wake.”
 
Mtafiti mwenzake, Dk Janarthanan Balakrishna anasema; “Watu wenye hali hiyo hawajiamini na wanataka kuendana na wale wanaowazunguka na wanaweza kuonyesha dalili za uraibu (addiction) wa tabia zao.”
 
Napiga picha zaidi ya tano kwa siku, kukiwa na kitu maalumu ninaweza kupiga zaidi ya 10 na zote nikazituma mtandaoni. “Siwezi kukaa mbali na simu yenye kamera, hata nikitaka kubadili sinunui kabla sijajiridhisha kuwa ina uwezo wa hali ya juu wa kupiga picha, ”alisema Shilole.
 
Back
Top Bottom