Hapa watakuwa wengiJe, unapenda kujipiga picha mnato au selfie mara kwa mara? Watafiti wa Chuo Kikuu cha Nottingham Trent, Uingereza na kile cha Thiagarajar cha India wamebaini kwamba kama unapiga picha zaidi ya tatu kwa siku na kuziweka katika mitandao ya kijamii, basi una dalili za ugonjwa wa akili.