Kweli tenaMambo ya mtandaoni haya ni pasua kichwa. Unaweza kuta wala siyo mwanamke bali dume kabisa na midevu juu...Ego issues. Inferiority complex...narcistic complex syndrome....
Ubuyu wa jf raha sana,unasoma unacheka maisha yanaenda.Marahabaaaa shem. Naona mpo mnakula u ubuyu tu. Safi sana !!!
Ni kweli. Ngoja mi niingie chachi nikatubu haya madhambi. Tumshukuru Mungu shemeji....Ubuyu wa jf raha sana,unasoma unacheka maisha yanaenda.
Yaani unaoa mtu aliyekufa?
Uwe na ibada njema.Ni kweli. Ngoja mi niingie chachi nikatubu haya madhambi. Tumshukuru Mungu shemeji....