Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipumxike angalau kidogo nanii atabaki hapa na bhangeshi wake wabonge kikoromije...


Polee maaa ngoja nkuitie pruner
Cc. Pruner carba anaomba ban huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muite tu maa,roho yauma yaani pimbi[emoji23][emoji23]sikutegemea.
Hanaga povu na mtu masikini.
Paw atapendeza zaidi maana yule hacheleweshi[emoji23][emoji23]
 
Muite tu maa,roho yauma yaani pimbi[emoji23][emoji23]sikutegemea.
Hanaga povu na mtu masikini.
Paw atapendeza zaidi maana yule hacheleweshi[emoji23][emoji23]
Jamani paw unaitwa na carba umpe ban Kama LA pimbi wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila wewe mwantumu mcharuko wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uzi wa Natafuta (huu uzee wa kupenda ubuyu ni shida) ulikuwa na nini?
Bidada alileta uzi wa mtoto hapati choo,baada ya muda ukaja huo wa kusaka.
Sasa kumbe kuna jamaa anafanana jina na KK anatangaza kagegeda wadada ka 20 hivi humu,na kuna bishosti mwingine alianza kumshambulia mtoa mada maneno za shombo.

Kwema lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…