Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,036
How is India, au uko Longido?Nambie Danpol
How is India, au uko Longido?Nambie Danpol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani paw unaitwa na carba umpe ban Kama LA pimbi wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila wewe mwantumu mcharuko wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
eeeh akili yangu kama ime pick kitu hapa, ila nilisikia account ilikua hacked sijui... usije ikawa na jinsia tofaut tuBidada alileta uzi wa mtoto hapati choo,baada ya muda ukaja huo wa kusaka.
Sasa kumbe kuna jamaa anafanana jina na KK anatangaza kagegeda wadada ka 20 hivi humu,na kuna bishosti mwingine alianza kumshambulia mtoa mada maneno za shombo.
Kwema lakini?
Kama mnajuana nje ya hapa ni vizuri,kama ni mjuano wa kijf usishangae siku unakuta ni me[emoji23][emoji23].Iko moja tu hiyo naiamn, huyo lazima ni KE, mara vaap sio KE, walai sitii mguu kwa PM tena
Duh!Bidada alileta uzi wa mtoto hapati choo,baada ya muda ukaja huo wa kusaka.
Sasa kumbe kuna jamaa anafanana jina na KK anatangaza kagegeda wadada ka 20 hivi humu,na kuna bishosti mwingine alianza kumshambulia mtoa mada maneno za shombo.
Kwema lakini?
Muke ya mutu hiyo kijana[emoji23]
Yote yawezekana jf ni msitu mnene kuliko hata amazoneeeh akili yangu kama ime pick kitu hapa, ila nilisikia account ilikua hacked sijui... usije ikawa na jinsia tofaut tu
Hahaha! Nipo hapa kijiji kimoja wanakiita GAMBOSHIHow is India, au uko Longido?
Tunajuana humu humu,Kama mnajuana nje ya hapa ni vizuri,kama ni mjuano wa kijf usishangae siku unakuta ni me[emoji23][emoji23].
Halafu kuna watu jinsia zao hazijulikani,unamjua sexless wewe?
Niko makini sis....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Husna bosslady aka erick otieno.
Bro vipi tayar nini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na mimi nimo kati ya wachache wanaoaminiwa nawe? Au ni Mwakaleli na pimbi pekee? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Niliotokea kuwaamini wanatosha,nimepata fundisho[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nina kinga, hata ballistic missiles zile za mkorea anazo watishia nazo Marekani ninazidaka kwa mkono vizuri tuMuke ya mutu hiyo kijana[emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] anaonja moto kwa ulimi...Muke ya mutu hiyo kijana[emoji23]
Hehehe msalimie babuHahaha! Nipo hapa kijiji kimoja wanakiita GAMBOSHI
Nina chemchem mdomon[emoji124] [emoji124] [emoji124] anaonja moto kwa ulimi...
ZimemfikiaHehehe msalimie babu
Nakumbuka.Niko makini sis....
Dume hata ajiite Khadija nitamgundua tu. Unakumbuka ile Psychological profile niliyokwambia? Mpaka pointi ya kumi nitakuwa nimeshajua jinsia ya mtu kwa uhakika hata kama awe jike dume.
Namshukuru Mungu nipo vizuri. Nimefika page ya tatu mara aaaaaah!!! wamefuta...Bidada alileta uzi wa mtoto hapati choo,baada ya muda ukaja huo wa kusaka.
Sasa kumbe kuna jamaa anafanana jina na KK anatangaza kagegeda wadada ka 20 hivi humu,na kuna bishosti mwingine alianza kumshambulia mtoa mada maneno za shombo.
Kwema lakini?
Karibu tule matobolwaHehehe msalimie babu
Usinitajie pimbi[emoji24][emoji24][emoji24]yuko mahabusu ya jfNa mimi nimo kati ya wachache wanaoaminiwa nawe? Au ni Mwakaleli na pimbi pekee? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️