ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ile blog pendwa ya zamani au?Raha tupu
Mambo ya IQ peleka kwa ma-great thinkers huko mkuu. Hapa ni TOA LIKES KAMATA LIKES tu hata uwe Mensa member au totally mentally retarded hatujali!Tukiambiwa IQ zetu zipo chini huwa tunakataa hata kufikia hatua za kupigana!
cocochanel kaamua kutudhalilisha. Namuona kwa mbaaali na 70k yake. Mdada huyu analeeengaa shabahaCoco tenaaa??[emoji22][emoji22][emoji22]
Sawa. Kamata likes basi...Sio muhimu
..utamani wembamba wako wa zamani!Nenepa
Umetafutwa na mijibaba kadhaa kuanzia asubuhi. Karibu tena!Nimewamiss.....
Acha kujisifia, nipo huku natoa like 1hr agoCome on girl! Yakifanyika mashindano ya kutoa likes humu naweza kushika nambari wani. Na hii kazi ya kukumbusha kumbusha nilikuwa nimemshikia Kichwa Kichafu. Sijui kama ameshaonekana. Likes daima!
...huwa haidumu!Sukari ya watoto
Nisipojisifia nani mwingine atanisifia katika dunia hii mkuu? Kuna watu huko hawana likes za kutosha? Nielekeze nije huko nami nijazie jazie...Acha kujisifia, nipo huku natoa like 1hr ago
Yaaani hadi nimekosa cha kusemacocochanel kaamua kutudhalilisha. Namuona kwa mbaaali na 70k yake. Mdada huyu analeeengaa shabaha
lolTia Utiwe [emoji125][emoji125][emoji125]