Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Basi usiwadanganye wanaJF kuwa hiyo taarifa si ya kweli. Utafiti hupingwa kwa tafiti na siyo hisia.
Sijapinga bali nimedadisi tu kemikali zilizomo katika ndizi na mayai ambazo mtu akizila kwa pamoja zinamuua mara moja. Na huu wala siyo utafiti kwa sababu ungekuwa utafiti ninachokiuliza kingekuwa kimesharejelewa tayari.

Nilivutiwa na mayai kwa sababu katika jamii nyingi mayai yamewekewa mikatale ya ajabu mf. mwanamke mwenye mimba ilikuwa haruhusiwi kula mayai eti atazaa mtoto asiye na nywele au mtoto atafia tumboni. Jamii zingine watoto tulikuwa haturuhusiwi kula mayai...Yote haya kisayansi hayana mashiko. Ngoja kesho nitakula breakfast safi ya scrembled eggs na nitasukumizia na ndizi. Naamini hakuna cho chote kitakachotokea. Ingekuwa ni kweli watu wangekuwa wanakufa kila kona. Huyo mmoja kala ana potassium intolerance au matatizo mengine kafa sasa mnasingizia ndizi na mayai...

Karibu chit chat...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha ni safari!
f89caf8f324ee411191f48949fcc75e7.jpg
Hiyo cheni daah
 
Back
Top Bottom