Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8c629dc20291e51f8dca0581c5cd9d34.jpg
 
Nijaribu nife halafu nikose likes? We vipi bana?

Sitaki kujaribu japo naamini kuwa haina ukweli wowote otherwise watu wangekuwa wanakufa kila leo. Kama ni kweli ngoja tusubiri wazungu waje watufanyie analysis ya kisayansi. Sisi si ajabu tukaanza kusingiziana uchawi tu
..

Wewe si Thomas unataka kuamini! Pia unataka utafiti wa kisayasi, wewe kuwa 'sample' na mtafiti kwa mpigo. Nakutakia kila la kheri
 
Back
Top Bottom