Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu sometimes najiuliza upo kumbe avatar umebadili
Hata mimi nilimkosa kumbe yupo. Niliongea na ile avatar ya juzi na nilianza kuamini kuwa pengine ni yeye kumbe leo kaja kivingine. Hizi avatar zinatufanya tunajenga personality ya mtu kupitia kwazo na zinapobadilika kisaikolojia inabidi tuanze upya!
 
Kweli kabisa maana muda naona hii raia active ni Nani kumbe Mark msue
 
Kama post ilivyo nime'share'. Kuamini au la ni kujaribu mwenyewe kula ndizi na yai! Kila la kheri
Nijaribu nife halafu nikose likes? We vipi bana?

Sitaki kujaribu japo naamini kuwa haina ukweli wowote otherwise watu wangekuwa wanakufa kila leo. Kama ni kweli ngoja tusubiri wazungu waje watufanyie analysis ya kisayansi. Sisi si ajabu tukaanza kusingiziana uchawi tu
..
 
Back
Top Bottom