mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Vidumu milele yotekwa utu wetu na uzalendo
Vidumu milele yotekwa utu wetu na uzalendo
Du[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]For the last time!!
Dear fat girls,dont be scared to get on top of him..If he dies,he dies.
.
.
After all something must kill a man!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shetani sijui yukoje? Huwa anapenda kuweka utamu kwenye vitu vya kijiiiinga...!
Eti utakuta mboga ya kudukoa ni tamu kuliko uliyopika wewe...
Good morning NumbisaKeep disrespecting your girlfriend like that....one of these days she will remove her wig,wash her make up,and talk to you MAN to MAN....nonsense!
HahahahahaDada zetu mkitinda nyusi muwe mnakumbuka zilikuwa wapi, maana kuna mmoja nimekutana nae kapaka wanja umeenda juu sasa anatembea kama anashangaa....
Habari za asbh mkuu Siku mpya imeanza tumshukuru Mwenye Enzi Mkuu Muumba wetu kwa kuiona Siku hii ya leo[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyesha milele!Mvua Mvua Mvua
Ni utajiriMvua Mvua Mvua
Well, believe me unaweza![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata uwe tajiri kiasi gani uwezi nunua ufalme wa mbinguni
Mola wangu akutangulieWacha tuingie kwenye majukumu kidogo