Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9 Uhifadhi wa zao la dengu
Hauna chagamoto sana japo hushambuliwa na wadudu baada ya miezi mitatu bila kuweka dawa unapaswa kuhifadhi kwenye eneo la wazi yaan kama ni chumba kiwe na uwazi wa hewa ya kutosha lakini pia kunagunia special nitazieleza kwenye utatuzi wa chagamoto
 
CHAGAMOTO KATIKA KILIMO CHA DENGU

zipo chagamoto kadhaa katika kilimo cha dengu kama ifatavyo
1. Wakati wa kupanda huwa kunachagamoto ya mvua ambazo hujitokeza na kuharibu zao la dengu kwa kisukuma tunaita SHIBOJA yaani mvua za kuozesha dengu chagamoto hiyo ikijitokeza subiri maji yakauke katia mbengu upya kama zao limeathiriwa kidogo kama limeathiriwa sana unarudia shamba lote
 
3 chagamoto ya wadudu wakati wakati mmea unatoa zao lenyewe

Wakati huu pia unapulizizia dawa kama wakijitokeza

Jambo la funza na wadudu hujitokeza mara chache sana hivyo ni vyema kuwa na.tahadhali hiyo.
 
4 chagamoto ya panya
Panya hujitokeza kwenye shamba wakati zao
Linaanza kukomaa wao hutafuna dengu kamili hivyo unaweza jikuta unapata hasara wakati dengu zilisitawi vyema
Utatuzi wa chagamoto hiyo ni kuwatega panya kwa sumu kwa ukanda wa mkoa wa shinyanga serikali hutoa dawa nasi huchaganya na mahidi nakusambaza pembezoni mwa shamba maana panya hutokea kwenye nyasi hivyo watakutana na mahidi nakuyala .
 
Chagamoto nyingine ni za masika unaweza lima mwishoni sana kwenye mavuno ukakutana na mvua
5 chagamoto ya uhifadhi
Hapo kunachagamoto ya kushambuliwa na wadudu ndani ya miezi mitatu ya mwanzo unashauriwa kuhifadhi kwenye magunia nasiyo mifuko ya plastic
Unashauriwa kutia dawa inaitwa AKTERIA mapema kabisa unapohifadhi kama unahifadhi kwa muda mrefu baada ya miezi mitatu unatia tena
 
Au unaweza hifadhi kwaifuko maalumu ambayo imetiwa dawa kabisa na dani inajuwa kama mfuko wa sukari na upaswa kuifuga kitaalamu kama maeelekezo yalivyo .

Chagamoto nyingine ni ya soko naieleza hapa chini na utatuzi wake
 
MAVUNO NA SOKO LA DENGU

Mavuno ya dengu kwa heka yanaweza kuwa gunia 6,5,4
Inategemeana na eneo ulilolima linarutuba kiasi ngani na umefata taratibu zote.

Soko la dengu ni la uhakika sana kwa maana ya uhitaji wa dengu katika soko la ndani na nje
Dengu ndiyo zao ambalo mkulima wa mkoa wa shinyanga na niko jirani hulitegemea kwa kipato cha juu
 
Ukitaka kuuza kwa kilo
Misimu hutofautina wastani wa bei ni 1000 mpaka 1800 kwa kg 1 ya dengu
Gunia moja huwa lina chukua kg 120 au zaidi inategeena na upimaji namakubaliano ya muuzaji na mnunuaji

Msimu wa kulima ni baada ya mvua za masika dengu haihitaji maji walamvua only humidity.
 
Rais Edgar Lungu ameshtushwa kusikia wanachama wa chama kikuu cha upinzani cha UPND wanaonunuliwa kujiunga chama tawala cha PF wanalipwa K20,000 na wengine K5000 badala ya kiasi kilichotengwa cha kati ya K200,000 na K500,000.

Haijajulikana chanzo cha fedha hizo kama ni chama au serikali lakini kiasi kikubwa cha fedha kimeidhinishwa na rais kwa ajili ya mradi wa kununua madiwani wa chama cha United Party for National Development (UPND) kinachoongozwa na Hakainde Hichilema.
 
Lungu alionyesha mshtuko huo alipozungumza na maofisa waandamizi wa chama tawala cha Patriotic Front (PF) kwenye Ikulu muda mfupi baada ya kurejea nchini akitokea Afrika Kusini kwa shughuli binafsi.

Rais alimwambia Davies Mwila kwamba kila diwani anayehama kutoka UPND alitakiwa kulipwa kiasi kinachofikia K200,000 wakati wale kutoka kwenye ngome za UPND kama vile jimbo la Kaskazini Magharibi walipaswa kupewa hadi K500,000.
 
Katika siku za hivi karibuni baadhi ya madiwani wa UPND walikiri kuwa wanalengwa kushawishiwa kuhamia PF baada ya kupewa K20,000 wakati wengine walipewa kiasi kidogo cha K5000.

Pia madiwani hao walidanganywa kwamba wakihamia PF watateuliwa kuwa wakuu wa wilaya au kupewa kazi nyingine serikalini lakini mpaka sasa hakuna chochote kilichofanyika.
 
Bajeti niliyoletewa na kuiidhinisha na fedha zikatolewa ni kwamba kila diwani wa UPND ambaye anakubali kujiuzulu katika maeneo kama Kaskazini, Luapula, Copperbelt, Mashariki na Muchinga walitakiwa kupewa K200,000 pamoja na kazi ya maana. Wale wa majimbo ya Kaskazini Magharibi, Magharibi na Kusini walitengezwa K500,000 kila mmoja pamoja na gari na kazi kwa kuwa tusingeweza kutetea viti vyetu kule. Tulitaka tu kupima umaarufu wetu katika maeneo yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…