Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
SanaZinaleta hamasa
Yaani yatulazimu tununue mablanket.Sana
kweli...yanapatikana wapi?Yaani yatulazimu tununue mablanket.
Aaah aaa! Wataka kunambia hujui yanauzwa wapi mkuu?kweli...yanapatikana wapi?
Safi kabisa Leo kuna kajua kamechomoza huku hali ya hewa safi sanaAmina.Salama kabisa kabisa kiongozi,habari ya huko
HahahahahaTumbo halitaki masihara.View attachment 719960
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si kwa utani huuGoodmorning ben10
Ya maziwa yenye viungo teleasubuhi ya chai
Umeona hee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haahahah!
Yapkila jambo na wakati wake
IsisUsimuite mzee atakua mzee kweli hahaha
Hii ndio staili ya vyama Tawala AfricaRais Edgar Lungu ameshtushwa kusikia wanachama wa chama kikuu cha upinzani cha UPND wanaonunuliwa kujiunga chama tawala cha PF wanalipwa K20,000 na wengine K5000 badala ya kiasi kilichotengwa cha kati ya K200,000 na K500,000.
Haijajulikana chanzo cha fedha hizo kama ni chama au serikali lakini kiasi kikubwa cha fedha kimeidhinishwa na rais kwa ajili ya mradi wa kununua madiwani wa chama cha United Party for National Development (UPND) kinachoongozwa na Hakainde Hichilema.
HahahahaIsis
Tutafika tu na sisi Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwanguHii ndio staili ya vyama Tawala Africa