Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado yupo JF? Walimkorofisha kwa ban za mara kwa mara akaaga kuwa anaondoka jumla. Ni atheist mzuri, msomi na mwelewa wa mambo mengi. Ana mitego mingi ya kifalsafa na kujadiliana naye inabidi uwe mwangalifu na umesoma soma....

Hapa naona anarudia yale maswali ya O'kot P'Bitek kwenye wimbo wa Lawino. Eti kabla ya Mungu kuwepo kulikuwa na nini. Hizi ni hoja za mzunguko zinazoonyesha ukomo wa fikra za kibinadamu. Ni sawa na kuwauliza wanasayansi, hicho kilicholipuka siku ya Big Bang na kuunda universe nzima kilitoka wapi na kilitengenezwa na nani. Matter, space and time eti vyote vilikuwa compressed kwenye bilionth of a pinhead halafu kaboom vikalipuka na kuunda mabilioni ya galaxies, matrilioni ya nyota, sayari....

Mijadala hii kimsingi haina faida kiimani na mimi binafsi huwa naikwepa. Ni akili za kibinadamu tu kudhani kuwa kila fenomena (akiwemo Mungu) ni lazima itawaliwe na kanuni za kifizikia wakati kanuni hizo hizo wanasayansi wenyewe wanakiri kuwa hazifanyi kazi hata kwenye black holes tu...
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] dadii uwiiiiiiii[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ila najua hautofanya hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nachoka jamani yaani hapo ndo napata pa kupumzikia kidg nabkuzugazuga
Kama unacheza zuma na kuchat JF utaachaje kuchoka? Ngoja nitakuhamishia kwingine...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…