Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852712079_166312.jpg
 
Only you can do
What no man can do
Only you can say
what no man can say
Only you can change
every situation at all
Only you able daddy
Only you capable.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Only you can do
What no man can do
Only you can say
what no man can say
Only you can change
every situation at all
Only you able daddy
Only you capable.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Yegoooooooooooooo !!! [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Sorry brother this is terrible. I could answer you with a story we all know. At twelve years old, Barack Obama was asked what he wants to be in a classroom by his teacher. Barack looked up then around and said, "President." The whole class burst into laughter. It's not possible they said. The good thing about is that he didn't give up and sure enough at 47, he took the Presidential Oath. What I mean is that we sometimes find ourselves in bad situations and the enemy bullies us thus killing our dreams. What next? Move on. Put yourself together. Someday your dreams will come true.
 
Halafu eti ukiona picha za Treasurer wetu mchana unalalamika zinakukera. What izi dis?

Mhola bageshi? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Mmmhh kwa style hii from today am a robot
 
Chama tawala cha Zanu PF kimesema Robert Mugabe anaweza kupoteza kinga ya kutoshtakiwa pamoja na marupurupu kama mkuu wa zamani wa nchi ikiwa pamoja na kufukuzwa kwenye chama.

Haya yamekuja baada ya Mugabe wiki iliyopita kuwaambia waandishi wa habari kwamba Rais Emmerson Mnangagwa amewekwa madarakani na jeshi na hivyo anatawala kinyume cha sheria.
 
Zanu-PF itatakiwa kukutana ili kujadili maendeleo haya mapya ... kupitia upya kama bado ni muhimu au la kwake (Mugabe) kuendelea kufurahia heshima tuliyompa," katibu wa masuala ya kisheria katika chama, Paul Mangwana aliliambia gazeti la serikali la Herald.

Mbali na maoni yake kwa waandishi wa habari wa kimataifa Alhamisi iliyopita, Mugabe pia alikosolewa kwa hatua yake ya kufanya mkutano wiki mbili zilizopita na waziri wa zamani, Ambrose Mutinhiri, ambaye sasa anaongoza chama cha upinzani cha National Patriotic Front (NPF).
 
Back
Top Bottom