Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeripotiwa kuingia katika Manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwepo kwa watu zaidi ya wanne waliong’atwa na mbwa na kulazwa hospitali.
Akizungumza leo Jumanne Machi 20, 2018 Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Michael Mwandezi amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa ugonjwa huo na kuanza kuchukua tahadhari.
Akizungumza leo Jumanne Machi 20, 2018 Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Michael Mwandezi amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa ugonjwa huo na kuanza kuchukua tahadhari.