Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Likes haiwezi kuondoa au kuongeza uelewa wa mtu!

Sifa za kijinga jamaa amekuwa-liked mara 30k ila kwa kupost na kuchangia mada holela.
Mkuu nahisi kama vile umepotea njia. Uko chit chat - nothing serious here. Mada za maana na ujengaji wa hoja jaribu majukwaa ya Intelligence au Siasa huko na Hoja Mchanganyiko. Hapa sisi ni sawa na mtu anayecheza gemu kwenye kompyuta au kwenye simu...and we are enjoying it!

Sifa za kijinga kama mtu kaamua kuzipata we ni nani mpaka umkataze mkuu? Let people enjoy their lives as long as hawavunji sheria wala kukera wengine. Kamata likes [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nahisi kama vile umepotea njia. Uko chit chat - nothing serious here. Mada za maana na ujengaji wa hoja jaribu majukwaa ya Intelligence au Siasa huko na Hoja Mchanganyiko. Hapa sisi ni sawa na mtu anayecheza gemu kwenye kmopyuta au kwenye simu...and we are enjoying it!
Aende huyoo kapotea..
 
Back
Top Bottom