Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Unafaa kuwa Marketing manager wa hawa wasela
unasema nishike maro mgeni?? au umemaanisha nnMashikoro mageni
Hobby. Dedication...Unafaa kuwa Marketing manager wa hawa wasela
there you go [emoji5]
Napendaga ya kimya kimya maana inanisaidia kwa matumizi ya baadae...Sijui niongeze neno ama nikae kimya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo ni jambo la kushukuru kwakweli[emoji120][emoji120]