MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Ennio Morricone- The Good, The bad and The Ugly (Them song)
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nkema
Nkema
Asante mkuu. Hata mimi niliona. Anaonekana kama binti wa Kaskazini huko milimani. Visiwani huko na uslei kwini kweli vinawezekana? Anyway, akiamua anaweza kutoa chalenji kubwa kwa Sanchoka. Ni mrembo !!!Mkuu SHIMBA YA BUYENZE yule binti ni Mtanzania banaa, kila nikimuangalia naona ana features za Kitanzania zaidi. Nikamfuatilia na kugundua ni Mbongo na maskani yake ni Zanzibar japo ana features za bara zaidi kuliko za visiwani.
![]()
Full magego huko aliko unaambiwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi umefuraaaahi mwenyewe Kwa kuibahatisha hiyo! [emoji23][emoji23]