Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu SHIMBA YA BUYENZE yule binti ni Mtanzania banaa, kila nikimuangalia naona ana features za Kitanzania zaidi. Nikamfuatilia na kugundua ni Mbongo na maskani yake ni Zanzibar japo ana features za bara zaidi kuliko za visiwani.

Asante mkuu. Hata mimi niliona. Anaonekana kama binti wa Kaskazini huko milimani. Visiwani huko na uslei kwini kweli vinawezekana? Anyway, akiamua anaweza kutoa chalenji kubwa kwa Sanchoka. Ni mrembo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…