Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mama mzazi wa mtoto huyo ameelezea tabu anazozipata, jaziba na hasira ambazo mtoto huyo anamfanyia kutokana na matatizo ya maradhi yake ya kifafa.Ameongeza kuwa watu 380,00 wanaunga ombi hilo na wamewapigia simu familia yao wakidai kuwa wanaridhia wapewe leseni kwaajili ya Alfie Dingley kutumia bangi kwa matibabu.
Hannah Deacon amesema kuwa wamekuwa wakiletewa misokoto mingi ya bangi,watu wakisema wanaelewa tatizo la mtoto.Hivyo najua wenye mamlaka hawaonji mateso ya maisha ninayo ishi,na wala hawaishi maisha na shida mwanangu,naomba waweke wazi jambo hili.
Muigizaji Sir Patrick Stewart amemwambia mwandishi wa gazeti la Daily Politics Greg Dawson kwamba kwanini anaunga mkono kampeni hiyo.