Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kila mwaka Tarehe 20 mwezi Machi Dunia inaadhimisha siku ya furaha duniani na kwa mwaka huu Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani, ambapo kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa zinaitaja Tanzania kuwa nchi ya 153 duniani kati ya nchi 156 zilizofanyiwa utafiti huo.