Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ugonjwa wa Cucumber Mosaic husababishwa na sumu ya virusi ambayo ni mbaya sana kwa zao hili. Hutoa madoa kwenye matawi na kufanya sura yake kuwa mbaya na wakati mwingine rangi ya matunda ya kijani kibichi hutoweka kabisa. Hali ikiwa mbaya zaidi mmea hugeuka njano,