Kwakua mimi ni mbea sana ama,mfyuuuu[emoji23][emoji23]View attachment 721500
Mkuu leo mtakuwa mmeinjoi mtanange wa mafahari wawili...Hahahah eti kwa paul makonda
NimeipataaUnaitaka??
NdiooooooUnaitaka??
Nimeiona shimba aliiweka hapa.Me niliikuta moja tu.
Ule wa j2 ndo ulikuwa mzuri maana unakula ubuyu huku unaangalia tv[emoji23][emoji23]
Ubuyu niliuchelewa uzi ulifutwa kwa muda uliporudishwa radha ishapunguaMkuu leo mtakuwa mmeinjoi mtanange wa mafahari wawili...
[emoji23][emoji23][emoji23]naogopa msuto mie[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa Paul Makonda kupo wazi... Tupia mapicha picha ya sikirini shoti za wale mashositito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndioooooo
Mmh!!Nimeiona shimba aliiweka hapa.
Yaan ubuyu wa weekend unanoga sana
Walifuta comments kwani??Ubuyu niliuchelewa uzi ulifutwa kwa muda uliporudishwa radha ishapungua