andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Haya mama...maana kuna vijana wapole ving'ang'anizi haoooo...Pamefungwa,naogopa interviews hahahaha
Haya mama...maana kuna vijana wapole ving'ang'anizi haoooo...Pamefungwa,naogopa interviews hahahaha
[emoji23][emoji23]
Niache bhana nini lakini[emoji23][emoji23][emoji23]....
Nimekumiss hata hivyo,u hali gani??
Hahahaha watakata tamaa tuHaya mama...maana kuna vijana wapole ving'ang'anizi haoooo...
Eee akiwa na watotoMmh!!
Ile ya bibie??
Haya mama...maana kuna vijana wapole ving'ang'anizi haoooo...
Wamchokoza eeh?yupo ujue?Mi sijambo bana! Nilikumissmo pia! Nikadhani yule shemeji yako muuza magimbi na maparachichi amekukwapua jumla! [emoji1][emoji1]
Ee kuna comments wanasema zilifutwaWalifuta comments kwani??
Ubuyu wa leo sikuufaidi vizuri maana nilikuwa na mikazi hadi basi
Jihangaishe weeee hapa atarudi bila hata kutumia shilingi senti tanoMi sijambo bana! Nilikumissmo pia! Nikadhani yule shemeji yako muuza magimbi na maparachichi amekukwapua jumla! [emoji1][emoji1]
Duh! HayaUzuri ni kwamba, vijana wote wapole ni wagumu! [emoji23][emoji23]
Usihame tufaidi mema ya nchi.Aisee huu uzi sihami,
Yaani nimeanza kuuona mwaka huu ati.
Wagumu wapi?Uzuri ni kwamba, vijana wote wapole ni wagumu! [emoji23][emoji23]