Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mazao ya shambani na bustanini yapo mengi, baadhi yake ni kama vile malisho ya mifugo, mazao ya mafuta, nafaka, mikunde, matunda, mboga, karanga, madawa, kambakamba na mbao. Iwapo unalima zao husika kwa mahitaji yako binafsi au ya biashara, mambo yafuatayo ni muhimu kuzingatiwa wakati wa uchaguzi wa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…