Kumbe,sema hizi drama za humu bhana ni kuchafuana tu kwakweli.Ee kuna comments wanasema zilifutwa
Jihangaishe weeee hapa atarudi bila hata kutumia shilingi senti tanoView attachment 721591
Naachaje sasa kurudi na vyenye ulivyo mu handsome hivyo?[emoji23][emoji23]Jihangaishe weeee hapa atarudi bila hata kutumia shilingi senti tanoView attachment 721591
Makufuli ya nini tena? Kwa Paul Makonda siku hizi hakufikiki. Hali ni mbaya kwa kweli....Kumbe,sema hizi drama za humu bhana ni kuchafuana tu kwakweli.
Acha nikaweke kufuli jipyaaaaa posta mpya[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Duh!Kumbe,sema hizi drama za humu bhana ni kuchafuana tu kwakweli.
Acha nikaweke kufuli jipyaaaaa posta mpya[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Waarabu wa Unguja hujuana kwa misuli yao wanayoivaa kiunoni.
Baunsa humu sie wapole hahaah