carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Haya bhana.Huko ndio kwenye masanduku yetu ya barua aisee! Wagumu bado tunatumia mawasiliano ya barua. Bado hatujaingia kwenye utandawazi wa barua pepe! [emoji1][emoji1]
Mimi sibanduki kabisa,Usibanduke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mwanaume RIJALI aliye mgumu mbele ya kitumbua kitamu kinene cha moto kilichoumuka. Tusidanganyane [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kufa kizembe,,Ajali kazini. Heshima ya ukoo lazima ilindwe !!!
Weeeeee[emoji117] [emoji117]Kumbe,sema hizi drama za humu bhana ni kuchafuana tu kwakweli.
Acha nikaweke kufuli jipyaaaaa posta mpya[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wageni tunawapenda sana..Mimi sibanduki kabisa,
Labda ninyi wenyeji mnifukuze
Vipi tena?[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️
Nashangaa tu mwenyewe..Jirani vipi tena??
Kwani mila zinaruhusu??Bado anasita sita kukwapua jumla. Hata sijui shida iko wapi !!!
Ningeshaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naachaje sasa kurudi na vyenye ulivyo mu handsome hivyo?[emoji23][emoji23]
Bado anasita sita kukwapua jumla. Hata sijui shida iko wapi !!!
Cheka tu BAK maana hakuna namna[emoji23]Hahahahaha lol!
Sasa mbona hamtoi hata Kahawa kwa wageni kama mnawapenda ?Wageni tunawapenda sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naisubiria ujue... Nipo tu mlangoni nazungusha manyanya ntori yangu hata sijui unatokea upande upi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kukomaa hapo hapo nje,akifungua tu shaaa ndani ka nzi wa kipindupindu...Makufuli ya nini tena? Kwa Paul Makonda siku hizi hakufikiki. Hali ni mbaya kwa kweli....
There we go.View attachment 721589
Utaumia mkono oohoooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yaani unalaumu mikazi kisa ubuyu?
Kimdabuo kinakuhusu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️