Njoo ulilie nuruniNitafanyaje sasa
10 Most Powerful Militaries In Africa
1. Egypt
2. Algeria
3. Ethiopia
4. South Africa
5. Nigeria
6. Kenya
7. Morocco
8. Tunisia
9. Angola
10. Libya
Na mlikuwa mnataka kupindua No.6 Kwa kuchoma tyres Na kurusha mawe, I say mko kwa macheso. [emoji53][emoji53][emoji53]
Usingekuwa ndugu ningechukua maamuzi magumu walahi tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hela za nini?
Raha ya mlio wa saksafoni mpulizaji awe na pumzi...hizo hela mtachanga wenyewe mashabiki. Usinitishe na hela za vidagaa vyako hapa.
Nikianza kulipuliza mtoto anapata rahaaa hadi anaanza kujiimbia mwenyewe "yesu nipeleke,kule kwa baba,nikaishi nae...ooooh lulu,ooooh lulu[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
Nitawaambia mkuu...Hao watatu wa juu sina shida nao kabisa
Lakini hapo kwa Kenya watoe waweke Libya.
Tatizo mimi ni mpole sanaNjoo ulilie nuruni
Unamaanisha kulia pia huwezi?Tatizo mimi ni mpole sana
Sijui kwa nini