Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ni WhatsApp robot hiyo, hua inapasha habari kwa mtindo wa "updates" hata mpk inatangaza, una mu-Add kwa group anakua anakupa habari kulingana na mahitaj yako wewe, siasa, uchumi, technology, tiba, michezo etc etc

Anhaaa, nilikuwa sijui bwana.
Whatsapp nimetumia mara nadra sana nikuwa na uhitaji.
Ila usijali sana mambo ya mitandanoni wewe Kula likes zako tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…