ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hivi huyu jamaa hajakufaga tu huyu??
Mkuu hivi unamjua Asher Roth ???Mzee yuko sawa sana
Namkubali pia
Hahahahaha,
Hilo jukwaa ndo liko wapi jamani,??https://www.jamiiforums.com/threads/picha-ya-mrembo-wangu-jf-jukwaa-la-wakubwa.1418153/
Uzi ushafutwa
Jamaa analalamika kaona picha za mpenzi wake anayempenda kuliko JLW kila kitu kile kile akiwa naked ila tu picha imekatwa kichwa
Mie pia mkubwa sana.Hilo jukwaa ndo liko wapi jamani,??
Hahaha, liko wapi?😀😀😀😀
Sijawahi kuingia,Hahaha, liko wapi?