Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ALOE VERA (MSHUBIRI) : Alovera (mshubiri) ni mmea wa asili katika sehemu zenye ukame na joto jingi za Afrika. Mmea huu ni hustaimili na hali za hewa na mazingazira tofauti, ndiyo sababu unastawi katika sehemu mbalimbali ulimwenguni. Mathalani huko Marekani huzalishwa kwa kiwango kikubwa ndani ya mabanda ya kudhibiti hali ya hewa (greenhouse).