Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
yo welcome duniani[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Duh aisee basi anajuta kutangaza hadharanKuna uzi juzi kati aligusia kwenye komenti,ila alisema wameachana kama sikosei...
"wahuni sio watu,wamebarasa vitamu halafu wameviachia hewani kwa matumizi ya wengine"
Tayariiii... Na mimi naja,kwa Paul Makonda kuwe wazi,usifunge puliziiiii...Mara usomapo huu ujumbe ujue nakutafuta. Ukija tukutane inbox
Salama kakake,za kupoteaSalaam dadake
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] nina funguo za bafu na bomba la maji, ukiwa tayari kuoga niambie,....
Matumizi gani hayo shem?[emoji124] [emoji124] [emoji124] kwa matumizi ya baadae...
eeh... kwann wamefuta sijausomaDuh aisee basi anajuta kutangaza hadharan
Oyaaa mazoea ya hivyo sipendi.He he he he
Hata mimi sijasema Invisible nikikuombea access atanikubalia
Kuna watu ndo starehe zao hizi bila kurekodi haoni kama pesa yake imeenda kihalaliHizi mambo hizi dah!Mungu atuhurumie.
Hivi unamrekodi mtu bila idhini yake mwenyewe(au hata kama amekubali)ili iweje??
Yaani....