Hahahaaaa! Watu wanakariri machenza yao.................................chenza ni lile lile....
Tatizo lipo hapo,kwamba vyovyote vile limeliwa,haliwezi kuwa EMPUTE likapona...View attachment 722415
[emoji124] [emoji124] [emoji124]mimi ooo mimi ooo,mama Jane bai bai... [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
Hahahaha yaan nahisi carba alishakuchukua mazima.Tayariiii... Na mimi naja,kwa Paul Makonda kuwe wazi,usifunge puliziiiii...
Rabeka beibiiii...Bebiiiiii
Duh!K
Kuna watu ndo starehe zao hizi bila kurekodi haoni kama pesa yake imeenda kihalali
Sema ndugu yangu. Kwema?Mkuu
Lkn wewe, mbona hivyo. Fungua mlangoSalama kakake,za kupotea
Starehe nyingine bhanaK
Kuna watu ndo starehe zao hizi bila kurekodi haoni kama pesa yake imeenda kihalali
Mh huu ubuyu nautamani ila acha tu unipite.K
Kuna watu ndo starehe zao hizi bila kurekodi haoni kama pesa yake imeenda kihalali
Hivi wewe si ulipewa talaka?Hahahaha yaan nahisi carba alishakuchukua mazima.
Salama mzee wa pwani. Habari ya majukumuJambo muungwana
Salama kabisa,sijui huko ulikoRabeka beibiiii...
Niaje mamaa..
(Likichwa langu limeelemewa kwa kujishaua)
Mmh!nakuja mimi basiLkn wewe, mbona hivyo. Fungua mlango
Hili nililitegemea kbs, ila utarudi tu nikirudi rasmiRabeka beibiiii...
Niaje mamaa..
(Likichwa langu limeelemewa kwa kujishaua)