Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445732016_40330.jpg
 
Nailazimisha furaha,ingawa moyoni nina majonzi...
Nani wa kunifuta machozi, umekwenda...[emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] yaani hapo unaimba huku unachungulia chenza linapita pita kwenye sikirini ya simu...
Utajijuu na bado utalia sana hapo nyuma ya keyboard sijui screen ya simu.
Umeyataka mwenyewe.
 
K

Kuna watu ndo starehe zao hizi bila kurekodi haoni kama pesa yake imeenda kihalali
Usimpende mwanaume kiasi kwamba na yeye mwanaume anajua.
Usimpe uhuru mwanaume afanye chochote kwenye mwili wako,lakini pia hata kwenye vitu vyako,hata kwenye hela zako.
Usithubutu kufunguka sana kuhusu mahusiano uliyo kuwa nayo kabla yake.
Usikubali kila wito wa mwanaume, na usiruhusu kufanya ngono kila atakapo...

"SISI WANAUME NI WA HOVYO SANA"
 
Back
Top Bottom